supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Kisheria kila kitu hakiongozwi na mtu mmoja hata msimamo na maamuzi ya Mwenyekiti yanakuwa yamejadiliwa na body katika kikaoHatua isibaki katika mkono wa muamuzi mmoja tu, iwepo bodi maalum ya kisheria.....
Kikao chetu mimi na wewe na wapendwa wa humu JF tutakipangia siku gani na venue itapatikana..?Kisheria kila kitu hakiongozwi na mtu mmoja hata msimamo na maamuzi ya Mwenyekiti yanakuwa yamejadiliwa na body katika kikao
Itapatika endapo utaitafuta boya...Kikao chetu mimi na wewe na wapendwa wa humu JF tutakipangia siku gani na venue itapatikana..?
Venue itapatikana sema tu ni vizuri kufanya vikao kwa video conference kutokana na maendeleo ya science na teknolojia hasa ukizingatia kila mwananachama anaishi mbalimbali hadi mikoaniKikao chetu mimi na wewe na wapendwa wa humu JF tutakipangia siku gani na venue itapatikana..?
Mikoani ndiyo maeneo mazuri ya kuenda kutalii na kuona taharuki zao ili kujifunza kitu....Venue itapatikana sema tu ni vizuri kufanya vikao kwa video conference kutokana na maendeleo ya science na teknolojia hasa ukizingatia kila mwananachama anaishi mbalimbali hadi mikoani
Kitu kikubwa cha kuzingatia ni kwa hawa viongozi wetu kuboresha mikoa yote na sio Dar na dodoma tu sababu ukizungumzia utalii wa mbuga za wanyama, milima, kilimo na ufugaji ni huko mikoani na si hapa DarMikoani ndiyo maeneo mazuri ya kuenda kutalii na kuona taharuki zao ili kujifunza kitu....
Dar jamani.., Dar ilobarikiwa.., Dar yenye hadhi pekee.., Dar ndiyo dili zote.., Dar yenye mipango.., Dar ndiyo mkombozi.., Dar ilobobea lifu.., Dar ndiyo habu ya kuunganisha.., Dar haiwezi kufa.., Dar Never die.., nsije kutumbuliwa bila kuwa na jipu !!!Kitu kikubwa cha kuzingatia ni kwa hawa viongozi wetu kuboresha mikoa yote na sio Dar na dodoma tu sababu ukizungumzia utalii wa mbuga za wanyama, milima, kilimo na ufugaji ni huko mikoani na si hapa Dar
Jipu huna huwezi kutumbuliwa na mtu sababu Tanzania inajengwa na sisi bila watu na viongozi basi hakuna Tanzania na wala isingefikia hapa, nilishangaa mkoa wa Rukwa hata mwaka mmoja hawajawahi kupelekewa tamasha la FiestaDar jamani.., Dar ilobarikiwa.., Dar yenye hadhi pekee.., Dar ndiyo dili zote.., Dar yenye mipango.., Dar ndiyo mkombozi.., Dar ilobobea lifu.., Dar ndiyo habu ya kuunganisha.., Dar haiwezi kufa.., Dar Never die.., nsije kutumbuliwa bila kuwa na jipu !!!
Fiesta ndiyo hutoaga ushamba.., hebu nami nijuze hilo tamasha huwaga na burudani zipi na faraja kwa walengwa !!???Jipu huna huwezi kutumbuliwa na mtu sababu Tanzania inajengwa na sisi bila watu na viongozi basi hakuna Tanzania na wala isingefikia hapa, nilishangaa mkoa wa Rukwa hata mwaka mmoja hawajawahi kupelekewa tamasha la Fiesta
Walengwa ni watu na mashabiki wa wasanii, unajua unaweza kukubali kazi za msanii kama Baraka da Prince lakini hujawahi kumuona hivyo ni mashabiki ni burudani na rahisi kuwaona wasaniiFiesta ndiyo hutoaga ushamba.., hebu nami nijuze hilo tamasha huwaga na burudani zipi na faraja kwa walengwa !!???
Wasanii wa wetu ni hawa wa vizazi vipya tu ? Jee, hatuna wasanii wa watu wazima na wa kongwe hapa katika mstari wa burudani...?Walengwa ni watu na mashabiki wa wasanii, unajua unaweza kukubali kazi za msanii kama Baraka da Prince lakini hujawahi kumuona hivyo ni mashabiki ni burudani na rahisi kuwaona wasanii
Inaendelea kutanuka hadi saa sita usiku bila kuzidisha wakati.. La sivyo litasimamishwa!!Burudani inaendelea
Litasimamishwa rumba watu walicheze segere. Wasanii wakongwe sasa hivi hawana thamani kwenye kizazi hiki kipyaInaendelea kutanuka hadi saa sita usiku bila kuzidisha wakati.. La sivyo litasimamishwa!!
Kipya ndicho kilicho funika cha zamani? Yaani huku uariani hakuna wenye hiba za nyimbo za akina Mbaraka na Salum Abdallah?Litasimamishwa rumba watu walicheze segere. Wasanii wakongwe sasa hivi hawana thamani kwenye kizazi hiki kipya
Samsung Galaxy Note 7 zinalipuka na zimepigwa marufuku kwa walionunua wanashauriwa kuzirudisha madukaniKipya ambacho sinacho muda huu ni Samsung Galaxy Note 7
Mbaraka na salum abdallah ongezea na wengine kama sikinde, culture group, na msondo ngoma wananikosha kabisa katika burudani, mziki ni zamaniKipya ndicho kilicho funika cha zamani? Yaani huku uariani hakuna wenye hiba za nyimbo za akina Mbaraka na Salum Abdallah?
Zamani na cha zamani ni kukienzi.., tusipelekeshwa na viraka viraka vya utandawazi .... !!Mbaraka na salum abdallah ongezea na wengine kama sikinde, culture group, na msondo ngoma wananikosha kabisa katika burudani, mziki ni zamani
Utandawazi umekuwa kwa mapana duniani kote na hata hapa kwetu Tanzania, imefikia hatua ukienda kwenye kumbi za music hupati live ladha ya nyimbo na vyombo vyake stejiniZamani na cha zamani ni kukienzi.., tusipelekeshwa na viraka viraka vya utandawazi .... !!