Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kuuguliwa kwa magonjwa ya uchumi hutafanya tuduwae kifikra pasipo na azma ya kutafuta muarobaini wa kuponyesha !!!Kipaumbele hakuna kwani taasisi husika pia hazijiamini kufanya maamuzi yoyote yasije yakaenda kinyume na serikali kuu.
Sahihisha ubunifu wa siasa za kizamani, Maana leo tupo mwaka 2016 ukiongozwa na Digital errKuponyesha kunahitaji kugunduliwa kwa ugonjwa na tiba sahihi
Vijana hawana kaziSalama, wanaamini nchi iko iwapo wao ni viongozi, hawana imani na vijana
Vijana wa miaka 18~hadi~33 hapa nchini na barani Afrika wamekamilika kwa asili mia 70% ktk idadi ya wakazi wote, Sasa nguvu kazi hii inayeyuka hewani na kupotea vichakani.....Salama, wanaamini nchi iko iwapo wao ni viongozi, hawana imani na vijana
Vichakani kunatokea maovu mengi sanaVijana wa miaka 18~hadi~33 hapa nchini na barani Afrika wamekamilika kwa asili mia 70% ktk idadi ya wakazi wote, Sasa nguvu kazi hii inayeyuka hewani na kupotea vichakani.....
Sana sana kuwasahau vijana katika zoezi la utendaji na uzoefu idarani kutazorotesha ufanisi !!!Vichakani kunatokea maovu mengi sana
Ufanisi Wa viongozi wengi si mzuri sanaSana sana kuwasahau vijana katika zoezi la utendaji na uzoefu idarani kutazorotesha ufanisi !!!
Kazi ipo kwetu kuinyanyua na kuipandisha hadhi serikali yetu iweze kutimiza maazimio stahili...Ufanisi huletwa na nidhamu ya kazi na kujitolea kwa moyo mmoja katika kufanya kazi
Yetu ni yetu kukienzi ni wajibu wetu, tunapaswa kuboresha kila sekta !!!Stahili ya serikali hasa unapozungumzia hadhi inajulikana ndani na nje ya nchi yetu
Juu ya kichwa cha dushe nimechora tatooHusika na kichwa cha habari hapo juu