Wa mwisho ndiyo mshindi

Binafsi nazungumzia mpira wa kibongo unahitaji mabadiliko makubwa mpaka tufikie level za kimataifa
Kimataifa tusahau na wala tusiote hata ndoto za mchana.... chukuwa kwangu na uamini haya nina watabiria nchi za jirani kadhaa kushiriki kombe la dunia na CAF karibuni, wakati siye tutabaki kushangilia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…