Wa mwisho ndiyo mshindi

kuelimishana tunaelimishana sana ila mwisho wa siku ni kama unampigia mbuzi gitaa, watu wengi hawalipi kodi na mi siwalaumu, ni mfumo wa kinyonyaji.
 
kuelimishana tunaelimishana sana ila mwisho wa siku ni kama unampigia mbuzi gitaa, watu wengi hawalipi kodi na mi siwalaumu, ni mfumo wa kinyonyaji.
Mfumo wa Kinyonyaji tuliimbishwa, tukajazwa kichwani, tukalishwa hadi kuvimbewa na tukapakazwa wanja machoni... Vipi sasa leo tunaramba na kumeza matapishi yetu wazawaa!!
 
wazawaa wazawaa tutajiita wazawa ila kiukweli hamna faida ya kuwa mzawa kama hakuna hata mmoja mwenye moyo wa kuipigania nchi yake, mimi binafsi sipo tayari, prezdaa mkiritimba sana.
 
wazawaa wazawaa tutajiita wazawa ila kiukweli hamna faida ya kuwa mzawa kama hakuna hata mmoja mwenye moyo wa kuipigania nchi yake, mimi binafsi sipo tayari, prezdaa mkiritimba sana.
Sana sana siku ya mapambano nitatoka baru
 
watoto wanaenjoy balaa, ukiweka hio kitu humtumi dukani.
Dukani ni mahala penye huduma za watumiaji, ila punguza sana kuwazoesha wanao/watoto kuelekea dukani... takawimu zimeonesha kuwa watoto huharibika njiani.....
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…