cosM
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 194
- 124
Balaa sio mchezo, miaka ya 90 sugu yupo boda anakwenda southsugu mbunge wa mbeya anapenda totoz balaa
Balaa sio mchezo, miaka ya 90 sugu yupo boda anakwenda southsugu mbunge wa mbeya anapenda totoz balaa
Kidogo kidogo hujaza kibubusouth beach ipo juu kuliko mikadi sa sielewi kwanini mikadi imetajwa na dimondi kwenye wimbo wake wa kidogo
Majanga hapo Bukoba yatokanayo na tetemekoBalaa humpata mtu aliyetenda maovu kesha akapuzia na kusahau alichofanya, hapo malipo yake ni kufikwa na masayibu kama si majanga !!!
tetemeko la tako la mpita njia liliwahi kunifanya ndumbukie mtaroniMajanga hapo Bukoba yatokanayo na tetemeko
Mtaroni kulifurika maji taka yaliyo ziba mtiririko !!!tetemeko la tako la mpita njia liliwahi kunifanya ndumbukie mtaroni
Tetemeko la ardhi limeleta maafa na adhaa kubwa kwa wakazi wa Bukobayetu !!Majanga hapo Bukoba yatokanayo na tetemeko
Maendeleo huletwa na sisi wenyewe, hebu tujitume na tuache umbeya na kukaa vijiweni na vibarazani !!!yetu majungu, yao maendeleo.
Bukobayetu ndo kwetuTetemeko la ardhi limeleta maafa na adhaa kubwa kwa wakazi wa Bukobayetu !!
Vibarazani raha yake kahawaMaendeleo huletwa na sisi wenyewe, hebu tujitume na tuache umbeya na kukaa vijiweni na vibarazani !!!
kwetu ni wajibu wetu kupaEnzi na kupajenga zaidi ni kutunza mazingira....Bukobayetu ndo kwetu
Kahawa nzuri ukinywea rubisiVibarazani raha yake kahawa
Kahawa ni zao lenye kutumika kama kinywaji changamfu kwa mataifa yote duniani hadi kufikia bei yake kupanda sokoni....Vibarazani raha yake kahawa
Mazingira yana mvutokwetu ni wajibu wetu kupaEnzi na kupajenga zaidi ni kutunza mazingira....
Sokoni kwa nchi ipiKahawa ni zao lenye kutumika kama kinywaji changamfu kwa mataifa yote duniani hadi kufikia bei yake kupanda sokoni....
Rubisi hiyo sio ya BukobaKahawa nzuri ukinywea rubisi
Bukoba inapatikana pombe ya kienyeji inayoitwa rubisi na hii pombe inapatikana mkoa wote wa kagera kwa taarifa yakoRubisi hiyo sio ya Bukoba
"yako yetu lakini yang ni yangu"Bukoba inapatikana pombe ya kienyeji inayoitwa rubisi na hii pombe inapatikana mkoa wote wa kagera kwa taarifa yako