Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Zao la taifa ni lipi? tukiweza litambua na kulithamini zao hilo waTZ. tutapaa juu kiuchumi......Masilahi yangu Ni Kwa WaTanzania Tupendane Kama tunavyo penda mpira maana Hata maadui wa siasa,Ukabila Na Udini wanakubalia Kwa ushabiki wa timu zao
Zao la taifa ni lipi? tukiweza litambua na kulithamini zao hilo waTZ. tutapaa juu kiuchumi......
Kufanikiwa kunahitaji collective action na kupunguza Urasimu au wasemavyo wataalamu Siasa chafu.....Kiuchumi Tanzania tuna biashara nyingi ambazo tunaweza kusafirisha nje ya Nchi Na kufanikiwa
Chafu na zina kutu zimekuwa mbovu huwezi kuzirekebishaKufanikiwa kunahitaji collective action na kupunguza Urasimu au wasemavyo wataalamu Siasa chafu.....
Kuzirekebisha kuna kirekebishio chake au nidyo tuseme sikiyo la kufa halisikii dawa..?Chafu na zina kutu zimekuwa mbovu huwezi kuzirekebisha
Kufanikiwa kunahitaji collective action na kupunguza Urasimu au wasemavyo wataalamu Siasa chafu.....
Kuzirekebisha kuna kirekebishio chake au nidyo tuseme sikiyo la kufa halisikii dawa..?
Chafu Ni kujichafuwa wenyewe.ZZ siasa Ni muhimu Lakini ukijituma,mkweli Na hufanyi biashara kiujanja ujanja Hata siasa zoweya vipi
Mafanikio yapo.Hii Ni website nzuri sana naona itawaondoa Westen Union Na moneyGram inaitwa www.sendwave.com inatuma kwenye Mpesa moja Kwa moja.
Majungu ni kitu cha kukaa nacho mbaliDawa Ni kutosikia wala kuona majungu
Majungu ni kitu cha kukaa nacho mbali
Kuambukiza ugonjwa wenyewe kama kipindupinduMbali Kama ugonjwa wa kuambukiza
Kipindupindu ni gonjwa lenye kupasuwa kichwa cha wizara ya Afya.......Kuambukiza ugonjwa wenyewe kama kipindupindu
Kipindupindu ni gonjwa lenye kupasuwa kichwa cha wizara ya Afya.......
Siku moja ikipita tu usipojitunza utahatarisha afya yako, kwa kuwa tumezungukwa na mazingira bandia.....Afya ndio kitu kikubwa cha kuombwa kila siku
Siku moja ikipita tu usipojitunza utahatarisha afya yako, kwa kuwa tumezungukwa na mazingira bandia.....
Kamba zetu hapa Tanzania zimefungika kiUstaarabu tangu enzi za mababu zetu niyo maana kuna lugha moja, miamala ya biashara ya aina moja na utamadauni usiyopishana......Bandia Ni maisha ya Watu wengi hapa Tanzania.Ndio maana hulalamika maisha Magumu.Tuishi Kwa urefu wa Kamba zetu
Maisha ya kila mtu yana mwisho wake hapa dunianiUsiyopishana, tamaduni kati yetu zinatufanya tuheshimiane na kuvumiliana katika maisha
Watanzania wengi hatuna uchoyo au ubinafsi kama mataifa mengine....Duniani tunapita, cha muhimu kusaidiana, mgogoone ahsante kwa www.sendwave.com. Huu ndio uzuri wa wa wote kuwa Watanzania