Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,138
Chura kawa tishio mjini mi nilikuwa nadhani chura yupo kijijini tena kisimani
View attachment 352858
Wamejaaa kama maputoKisimani Tena Mtebetini chura yuko kwenye Matope ya mabwawa Tena kwetu makao makuu wamejaa
Wamejaaa kama maputo
Maputo ya Msumbiji Au kuna Maputo nyingine?
Elimu hana mwisho kila siku twajifunza na wala haina mipaka kusema kwamba mwisho hapa,ahsante nawe kwa shukuranMrima ndugu Mtebetini kabla sijaiona kamusi nilifikiri Ni Bara Kumbe Ni pwani.Asante Kwa Elimu
Sinema za sasa tunaangalia kwenye sebule zetu,miaka ya nyuma ilikuwa mpaka tuende kwenye majumba ya sinema hasa mijiniNyingine nimeipenda avatar yako Kejof2
Huyo Eddy Murphy kwenye coming to America naipenda sana hiyo sinema
Sinema za sasa tunaangalia kwenye sebule zetu,miaka ya nyuma ilikuwa mpaka tuende kwenye majumba ya sinema hasa mijini
Haaa kicheko cha kejeli ila tafadhali asiyejuwa maana hambiwa maana japo fani yako ni uandishi hapo kwenye bandiko lako kuna neno rekebishaStarehe mnazipenda ila maskini wa kutupa, hamna hata buku harafu kutwa mnajadili na kufikiri mambo yasiyowasaidia kuinua uchumi wa taifa.haaa, haa,haaa
Halafu huyu ajiitae "jiwelawaashi" hatorudi tena hapa!! Ustaarabu ni kuingia jukwaani kwa heshima ndiyo utafaidi na kujifunza elimu ya dunia na mema ya kuishi kijamii....Haaa kicheko cha kejeli ila tafadhali asiyejuwa maana hambiwa maana japo fani yako ni uandishi hapo kwenye bandiko lako kuna neno rekebisha
Harafu= Halafu
Kijamii tumekwisha mbaini hilo Jiwe la waashi ni kuku mgeni ndiyo kwanza kaingia humu jamvini na hilo bandiko lake ni la nne toka ajiunge na JF, tumsamehe kwa utovu wake nidhamuHalafu huyu ajiitae "jiwelawaashi" hatorudi tena hapa!! Ustaarabu ni kuingia jukwaani kwa heshima ndiyo utafaidi na kujifunza elimu ya dunia na mema ya kuishi kijamii....
Nidhamu (kwa kidhungu ni discipline) tukizingatia hiyo tutafika mbali katika huu ulimwengu...Kijamii tumekwisha mbaini hilo Jiwe la waashi ni kuku mgeni ndiyo kwanza kaingia humu jamvini na hilo bandiko lake ni la nne toka ajiunge na JF, tumsamehe kwa utovu wake nidhamu
Kijamii tumekwisha mbaini hilo Jiwe la waashi ni kuku mgeni ndiyo kwanza kaingia humu jamvini na hilo bandiko lake ni la nne toka ajiunge na JF, tumsamehe kwa utovu wake nidhamu
Nidhamu (kwa kidhungu ni discipline) tukizingatia hiyo tutafika mbali katika huu ulimwengu...
Mbali ukitazama kwa upeo wa anga utaona maji maji... ukiyafuata hutoyapata..!!!Ulimwengu Ni Mzuri ndio maana Tuko binaadam wa kila aina na tabia mbali mbali
Hutoyapata mazuri kama uyatafuti kwa nguvuMbali ukitazama kwa upeo wa anga utaona maji maji... ukiyafuata hutoyapata..!!!
Nguvu kazi ya nchi ni vijana, Sasa vijana wetu wakiwa legelege nchi itajengwa na ndoto hewa??Hutoyapata mazuri kama uyatafuti kwa nguvu
Hewa ya oksijeni ni bure kutoka kwa munguNguvu kazi ya nchi ni vijana, Sasa vijana wetu wakiwa legelege nchi itajengwa na ndoto hewa??
Mungu kautuumbia vitu vya msingi pasipo na upungufu wa aina yote... Sisi tujitahidi kunufaikaHewa ya oksijeni ni bure kutoka kwa mungu
kunufaika watanufaika wengine, wewe utakusikia tu.Mungu kautuumbia vitu vya msingi pasipo na upungufu wa aina yote... Sisi tujitahidi kunufaika
Tu, tu, tu ni milio ya kawaida inayopatkana somalia, congo, sudan, na mashariki ya mbalikunufaika watanufaika wengine, wewe utakusikia tu.