Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Wangu wa ubani alinifunza niwashukuru waungwana katika miamala....Unastahili kupokea shukrani zangu za dhati kutoka moyoni mwangu ndugu zamiluni zamiluni kwa kutambua uwajibikaji wangu
Miamala ya tigo pesa ikikamilika hata kama ukifuta katika simu yako wao tigo wanakuwa nayo,wapigie namba 100Wangu wa ubani alinifunza niwashukuru waungwana katika miamala....
Namba 100 ni ishara ya asili mia ......Miamala ya tigo pesa ikikamilika hata kama ukifuta katika simu yako wao tigo wanakuwa nayo,wapigie namba 100
Nilikuidhi mie kwanza nadhani, ndio na wewe ukanijia na shoka ! .... kwangu yameisha kitambo!Kabisa hata mimi nimeona amani isije toweka ndugu mzizi wa mbuyu nisamehe kama nilikuudhi
Kitambo nilikuwa nakutafuta ili nijue hatma ya kale kamzozo na nijiridhishe kama yalikwisha,basi nakushukuru ndugu mzizi wa mbuyuNilikuidhi mie kwanza nadhani, ndio na wewe ukanijia na shoka ! .... kwangu yameisha kitambo!
Kitambo walipokuwa wakigawa viwanja huko bondeni.....Nilikuidhi mie kwanza nadhani, ndio na wewe ukanijia na shoka ! .... kwangu yameisha kitambo!
Mbuyu ni mti mkubwa kati ya miti yote hapa mbugani....Kitambo nilikuwa nakutafuta ili nijue hatma ya kale kamzozo na nijiridhishe kama yalikwisha,basi nakushukuru ndugu mzizi wa mbuyu
Kesho haitakuja usemi huu (wazungu husema Tomorrow never comes) !! tuchape kazi...Vijana ndio taifa la ksho lkn bila kupewa nafasi itakuwaje hyo kesho
Halali iliyo kidogo ina baraka kuliko kingi cha haramu kuwa na nuksi.....Kazi ni kazi tusichague kazi ili mradi iwe halali
Nuksi zikikuandama maishani utatamani kujiuaHalali iliyo kidogo ina baraka kuliko kingi cha haramu kuwa na nuksi.....
Kujiua almanusra siyo jambo la kufikiria kabisa, Amini kuwa kuna heri mbeleni uendako....Nuksi zikikuandama maishani utatamani kujiua
Uendako hukujui na hilo ndio tatizo kwa wasio aminiKujiua almanusra siyo jambo la kufikiria kabisa, Amini kuwa kuna heri mbeleni uendako....
Amini wa linna yuko wapi? Au ndiyo kaacha kuimbaUendako hukujui na hilo ndio tatizo kwa wasio amini
Amini kuwa ulipoishi ndani ya tumbo la mzazi hukujuwa nje kuna nini !! na unapoenda kaburini hujui chini kuna nini hivyo tuendako ni gizani !!Uendako hukujui na hilo ndio tatizo kwa wasio amini
Kujiua almanusra siyo jambo la kufikiria kabisa, Amini kuwa kuna heri mbeleni uendako....
( mtebetini , Blaki Womani , Mainus , mgogoone , Turnoff na wndg.wengine )Uendako hapajulikani tafakari ulipotoka.....