Chupi? Mkuu T1990 ELY please punguza makali ya lugha kuna wanetu huwa wanapita humu jamviniBakora za kipindi kile shule ya msingi nimechapwa sana kwa kuwawekea wasichana kioo wakiwa wamesimama wima.Yaani nilikuwa naona kila kitu cha ndani maana wengi wao walikuwa hawavaagi chupi.
Jamvini ni kuzuri sana kupigia mzigoChupi? Mkuu T1990 ELY please punguza makali ya lugha kuna wanetu huwa wanapita humu jamvini
Jamvini kuna raha yake, hasa ukite lile lilochezwa bao, hapo kuna habari kuliko BBC.Chupi? Mkuu T1990 ELY please punguza makali ya lugha kuna wanetu huwa wanapita humu jamvini
Mzigo unategemea kama orijino au remix.Jamvini ni kuzuri sana kupigia mzigo
BBC habari leoJamvini kuna raha yake, hasa ukite lile lilochezwa bao, hapo kuna habari kuliko BBC.
Leo Rais Museven kaapishwa kuwa Raisi wa Uganda, hivi ndio Long serving President??BBC habari leo
President Magufuli nayeye kahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa uganda.Leo Rais Museven kaapishwa kuwa Raisi wa Uganda, hivi ndio Long serving President??
Uganda Rwanda na Tanzania wamekuwa marafiki siku za usoni, je unafikiri ni Urafiki wa Kweli au wanataka kuitumia tu? Kumbuka kipindi cha JK hawa walikuwa wanashirikiana Na Kenya.President Magufuli nayeye kahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais wa uganda.
Kenya kuna wanawake wazuri sana hasa yule AvrilUganda Rwanda na Tanzania wamekuwa marafiki siku za usoni, je unafikiri ni Urafiki wa Kweli au wanataka kuitumia tu? Kumbuka kipindi cha JK hawa walikuwa wanashirikiana Na Kenya.
Avril(Judith Nyambura Mwangi) sifukirii kama Anamshinda Vanesa Mdee.Kenya kuna wanawake wazuri sana hasa yule Avril
Mdee huwa ni jina asili ya kabila gani vile?Avril(Judith Nyambura Mwangi) sifukirii kama Anamshinda Vanesa Mdee.
Mdee ni upareni kama sijkosea, siko sure kama ni la Kichaga japo ni Mkoa wa Kilimanjaro.Mdee huwa ni jina asili ya kabila gani vile?
Kilimanjaro ni Mkoa mzuri sanaMdee ni upareni kama sijkosea, siko sure kama ni la Kichaga japo ni Mkoa wa Kilimanjaro.
Sana Ila tunaambiwa wasichana wao wao wanapenda sana NgawiraKilimanjaro ni Mkoa mzuri sana
Ngawira zilizobaki atapewa mfalme JuhaSana Ila tunaambiwa wasichana wao wao wanapenda sana Ngawira
Juha ni Juha hata akivalishwa JohoNgawira zilizobaki atapewa mfalme Juha
Joho ni lile lile ila hakimu ndo wanabadilishwa....Juha ni Juha hata akivalishwa Joho
Wanabadilishwa kila akistaafuJoho ni lile lile ila hakimu ndo wanabadilishwa....
Akistaafu mkuu hapo ndiyo anakumbuka kurejea uswazi.....Wanabadilishwa kila akistaafu
Akistaafu mkuu hapo ndiyo anakumbuka kurejea uswazi.....