Wa mwisho ndiyo mshindi

Unazidi wewe mpita njia maana hapa hakuna Mshindi mpaka vyura vyote virudi kwenye Matope.
Motope au tope ni neno ambalo wapwani wengi hutafsiri vibaya, mfano msemo huu " Raha ya Nanga baharini, mtoni itatoka Na tope", ova
 
Motope au tope ni neno ambalo wapwani wengi hutafsiri vibaya, mfano msemo huu " Raha ya Nanga baharini, mtoni itatoka Na tope", ova

Ova duh mpita njia hapo kidogo nianze kumung'unya maneno huo msemo kweli wa kipwani.
 
Pwani kuna mambo, huku ukija umeshiba unaondoka haujala, ukija na viatu unaondoka na ndala, ukija na gari unaondoka Na dala dala Na ukija mchungu unaondoka chotara.
Chotara jadi yake ni Shotra "waarabu waliwaita watoto wa mama mzawa" Hilo mulijuwe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…