Macho yapo busy kuangalia majipu ya bandarini, tra, tic na watumishi hewa nk hili pia la uhuru wa kupata habari ni kuwanyima rai haki yao ya msingi na bajet hivi punde zimeanza kujadiliwa hili limeshakuwa ni likidonda maana jipu limepasuka lenyewe limeacha kidondaJipu limeiva haswaa, nashangaa kwa nini linafumbiwa macho
Kidonda na jeraha linaacha kovu lisilosahaulika wananchi hawatosahau kubabaishwa....Macho yapo busy kuangalia majipu ya bandarini, tra, tic na watumishi hewa nk hili pia la uhuru wa kupata habari ni kuwanyima rai haki yao ya msingi na bajet hivi punde zimeanza kujadiliwa hili limeshakuwa ni likidonda maana jipu limepasuka lenyewe limeacha kidonda
Kubabaishwa tumechoka tunataka hakiKidonda na jeraha linaacha kovu lisilosahaulika wananchi hawatosahau kubabaishwa....
Serikalini Kuna vipele,harara ,chunusi, majipu na NUNDU ,Nundu hizo ukitaka kuzitumbua Ama kuzichokonoa unaweza leta Tatizo sehemu husika.Kidonda na jeraha linaacha kovu lisilosahaulika wananchi hawatosahau kubabaishwa....
Husika na mashrti ya uzi huu mkuu, Ya serikali yana wenyewe....Serikalini Kuna vipele,harara ,chunusi, majipu na NUNDU ,Nundu hizo ukitaka kuzitumbua Ama kuzichokonoa unaweza leta Tatizo sehemu husika.
Haki unadai wewe binafsi ila kudai kwa paomja ni katiba.....Kubabaishwa tumechoka tunataka haki
biblia huwezi ibadili lkn katiba inawezekanaKatiba si msahafu wala biblia
Biblia, Injili, Taurah,Zaburi na Qura'an ni vtabu kati vitabu 105 vya dini za Mbinguni....Katiba si msahafu wala biblia
Inawezekana kusoma llakini kutenda matendo yake ni magumu.....biblia huwezi ibadili lkn katiba inawezekana
Ni magumu kutekeleza,ila ni wajibu wetu...tujitahidiInawezekana kusoma llakini kutenda matendo yake ni magumu.....
Tujitahidi kupiga hatua za kujikomboa katika umasikini uliyokubuhu hapo nguvu itapatikana....Ni magumu kutekeleza,ila ni wajibu wetu...tujitahidi
Tukishikamana ndiyo solidarity ya kuwa Taifa moja halafu tunatumia katiba kama dira....Nguvu itapatikana,sote tukishikamana
Dira ya mtanzania ipo kwenye katibaTukishikamana ndiyo solidarity ya kuwa Taifa moja halafu tunatumia katiba kama dira....
Katiba mpya inasubiriwa vilivyo, Na wapinzani nao washirikishwe.....Dira ya mtanzania ipo kwenye katiba
Washirikishwe 100% maana katiba ni ya Watanzania wote na si Chama tawalaKatiba mpya inasubiriwa vilivyo, Na wapinzani nao washirikishwe.....
Tawala za uDikteta zimeshapitwa na wakati... Kizazi hii hakitachelea kupasuka !!!Washirikishwe 100% maana katiba ni ya Watanzania wote na si Chama tawala
Kupasuka kutatokea pale wananchi watakapogomea utawala WA mabavuTawala za uDikteta zimeshapitwa na wakati... Kizazi hii hakitachelea kupasuka !!!