Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kupayuka maneno bila kuwa makini kunaonesha udhaifu na kukupunguzia hadhiMwingine akaja akasema yaleyale ya yule alietangulia....hapo ndo nikajua kuwa ni heri kusikiliza kwanza kuliko kupayuka
Hadhi zetu wakazi Wa DSM zinashushwa sana na wamikoaniKupayuka maneno bila kuwa makini kunaonesha udhaifu na kukupunguzia hadhi
Wamikoani wanapo azimia kuja Dar basi huja na akiba zao zote ili kujikimuHadhi zetu wakazi Wa DSM zinashushwa sana na wamikoani
Kujikimu kwao hutegemea sana watu wa DSM mara nyingi ukienda bush unageuka ATM lakini hawachoki kutupondaWamikoani wanapo azimia kuja Dar basi huja na akiba zao zote ili kujikimu
Kutuponda hivyo ndo tugeuke mtende kwani mtende hupondwa mawe lakini hulipa tende taamu!!Kujikimu kwao hutegemea sana watu wa DSM mara nyingi ukienda bush unageuka ATM lakini hawachoki kutuponda
Taamu wapi wakati ni chungu kama aloveraKutuponda hivyo ndo tugeuke mtende kwani mtende hupondwa mawe lakini hulipa tende taamu!!
alovera siku hizi ni dawa ya kila kituTaamu wapi wakati ni chungu kama alovera
Kitu kizuri hujuacho mtumiaji.alovera siku hizi ni dawa ya kila kitu
Mtumiaji ni mteja na kuna usemi unasema "mteja mfalme"Kitu kizuri hujuacho mtumiaji.
Chart hii tunaongoza mimi na weweMfalme Mswati bado yupo kwenye chart
Mbele ya hakimu mkazi, mashahidi waliwewesekaWewe na mimi ndio tunaoweza kuipeleka tanzania mbele
Waliweweseka wa kenya Kwa Tanzania kujenga bomba la mafuta toka Uganda mpaka TangaMbele ya hakimu mkazi, mashahidi waliweweseka
Tanga ina mpacha wake huko MoroccoWaliweweseka wa kenya Kwa Tanzania kujenga bomba la mafuta toka Uganda mpaka Tanga
Morocco mpaka mwenge barabara inashamiriTanga ina mpacha wake huko Morocco
Inashimiri shughuli za kisiasa hapa nchini kwa kupiga porojoMorocco mpaka mwenge barabara inashamiri
Inashamiri ili foleni ya magari ipungueMorocco mpaka mwenge barabara inashamiri
ipungue foleni pale watakapo maliza ujenzi wa flyover !!!Inashamiri ili foleni ya magari ipungue
Flyover itasaidia kupunguza foleni Na itaongeza uchumi wa nchi yetuipungue foleni pale watakapo maliza ujenzi wa flyover !!!