Wa mwisho ndiyo mshindi

Kitu kinachonivutia kwenye video ya ndi ndi ndii ya Jide ni jamaa anayeondoka na CD baada miaka yote waliyoishi na Jide. Nze ndi ndi ndiii navyo roll navyo flow navyo grow.. Nze ndi ndi ndii
 
Ndii ni neno gani? hebu tueleze siye tusiye yajua hayo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…