T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
amekuuliza kuhusu nani kashinda urais zanzibarNani amekuuliza?
amekuuliza kuhusu nani kashinda urais zanzibarNani amekuuliza?
Zanzibar ni Zanzi + Bar.........kisiwa cha waleviamekuuliza kuhusu nani kashinda urais zanzibar
Walevi hahahahaha.... Walevi wa nini kwa mfanoZanzibar ni Zanzi + Bar....kisiwa cha walevi
mfano mmoja kwa maths hautoshiWalevi hahahahaha.... Walevi wa nini kwa mfano
yako wapi yale mahesabu ya KDS na KKSHautoshi kabisa kushawishi hoja yako
kks ni kigawe kidogo cha shirika la hesabuyako wapi yale mahesabu ya KDS na KKS
Hesabu ndogo zinawashinda vipi kubwakks ni kigawe kidogo cha shirika la hesabu
kubwa huwa ni ngumu kumeza maana ni shidaaaHesabu ndogo zinawashinda vipi kubwa
Mfumoooo upi mkuuShida Tz zinasababishwa na mfumoooo
kuna mkuu wilaya moja ivi eti kaomba kupumzishwaM
Mfumoooo upi mkuu
kupumuzishwa kwa sababu gani hasa?kuna mkuu wilaya moja ivi eti kaomba kupumzishwa
Mchezo uzingatie vigezo na masharti. Na mshindi ndiyo mimi unaonaeeeeHii sentensi imefuata kanuni ipi kwenye huu mchezo
Unaonaeeeee hata mbuyu ulianza kama mchichaMchezo uzingatie vigezo na masharti. Na mshindi ndiyo mimi unaonaeeee
kula ulichotafuta kwa jasho lako na sio kuwazulumu masikiniMikono lazima iwe misafi kabla ya kula