Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,135
- 5,540
Progamu ni mpango au ratiba ya matukio au hatua zilizopangwa kufuatwa kwa utaratibu maalumGun?, ila programming ni kitendo cha kuandika programu.
Progamu ni mpango au ratiba ya matukio au hatua zilizopangwa kufuatwa kwa utaratibu maalumGun?, ila programming ni kitendo cha kuandika programu.
ban tu wenzio wanawapigisha nyeto!🫢Wanavyojua ni ban tu
Usirudie kuandika ushenzi!Seran na cocastic ni wadada wazuri na warembo sana hapa Jf sio kama wengine kama........????
Mkuu ndugu yake huyo!Kama vile unavyoutafuta ugomvi usiojua kuingia kwenye mali za wana,una kibali mkuu
Nyeto alamu🤔ban tu wenzio wanawapigisha nyeto!🫢
Huyo simjui naona umemchana live ndani ya 18😄Mkuu ndugu yake huyo!
Tu? Mbona inatembea mkuu,mimi napenda kusoma biblia tu wewe unapenda nini mkuuSasa mkuu mtu ataanzaje sentensi na tu?
Mkuu mimi napenda mpira wa miguu kuangaliaTu? Mbona inatembea mkuu,mimi napenda kusoma biblia tu wewe unapenda nini mkuu
Kuangalia pekee haitoshi ingia dimbani uucheze.Mkuu mimi napenda mpira wa miguu kuangalia
Alamu ni nini tena ba mchungaji? Sio haramu tena?Nyeto alamu🤔
Mtoto mpumbavu sana!Huyo simjui naona umemchana live ndani ya 18😄
Sana ni sanaAibu ni jambo la kufedhehesha sana
Sana sana hutakiwa kuwa na hasira unamuacha tu si amekusifia😊Mtoto mpumbavu sana!
Tena na mimi nimeshangaa😥Alamu ni nini tena ba mchungaji? Sio haramu tena?
nimeshangaa Pia kukuona huku maana sikutegemea kabisa kama bado unapitaga mitaa hiiTena na mimi nimeshangaa😥
Amenisifia upumbavu! Kunioa ndio manini ndio kwanza yuko kwenye 20sSana sana hutakiwa kuwa na hasira unamuacha tu si amekusifia😊
Umeshangaa kitu umeandika mwenyewe!Tena na mimi nimeshangaa😥
Mwenyewe ume andikaUmeshangaa kitu umeandika mwenyewe!
Andika na wewe tuoneMwenyewe ume andika