win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,726
- 8,023
hivi si ulisema mambo mazuri hayataki harakanamna hii utaniua sio kwa kunibana hivi
hivi si ulisema mambo mazuri hayataki harakanamna hii utaniua sio kwa kunibana hivi
nikisema kupata raha ataondoka na point 3 acha tuzunguke kwanza😅😅😅😅Utaumia au utapata raha
rahaa sana kukuona umejumuika ila msiniueUtaumia au utapata raha
wahindi wanakupenda piautaumia ukisikiliza hili byimbo ya kuchikuchi otae iba hisia kali sana,nawapenda wahindi
haraka kuna wakati ni nzuri😂hivi si ulisema mambo mazuri hayataki haraka
nzuri kama mnawahi kitu cha msingiharaka kuna wakati ni nzuri😂
pia natamani siku moja tuangalie movie pamoja ya kihindi atakae lia kwa hisia ameshindwawahindi wanakupenda pia
msingi wa mambo yote ni upendonzuri kama mnawahi kitu cha msingi
ameshindwa na hakufanikiwa hata kugusa 🤸♀️pia natamani siku moja tuangalie movie pamoja ya kihindi atakae lia kwa hisia ameshindwa
kwanza uniambie ukweli kwanini unanizungusha hivyo nimepata kizunguzungunikisema kupata raha ataondoka na point 3 acha tuzunguke kwanza😅😅😅😅
Upendo ni mimi kuwaachia uwanja hapa muombane vizurimsingi wa mambo yote ni upendo
upendo huvumilia haujivunimsingi wa mambo yote ni upendo
kugua kunako kunaleta msisimko sanaameshindwa na hakufanikiwa hata kugusa 🤸♀️
vizuri sana sana huna baya mamiloo ,shida win anazunguka sana wakati tayari uji umeivaUpendo ni mimi kuwaachia uwanja hapa muombane vizuri
vizuri kutatuliwa matatizo bila kuangalia makosa ya nyumaUpendo ni mimi kuwaachia uwanja hapa muombane vizuri
sana sana wakati wa jioni au kwenye kibaridi kidogokugua kunako kunaleta msisimko sana
haujivuni cha msingi hata binti wa zamani leo tunakesha asubuhi tutakua hoi woteupendo huvumilia haujivuni
kizunguzungu kidogo tu ushagaili safarikwanza uniambie ukweli kwanini unanizungusha hivyo nimepata kizunguzungu
kidogo kidogo nikunong'obeze faraga vingine vitapasua macho ya wasana sana wakati wa jioni au kwenye kibaridi kidogo
nyuma yako nakupa ua rose🤪vizuri kutatuliwa matatizo bila kuangalia makosa ya nyuma