Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,519
- 50,705
unapoenda mpaka wapi PM ,nikija huko utakimbia mwenyeweouky tuendelee
itakufurahisha popote pale unapoenda
unapoenda mpaka wapi PM ,nikija huko utakimbia mwenyeweouky tuendelee
itakufurahisha popote pale unapoenda
ujitahidi mpaka usinziekwa kweli ngoja niendelee kujitahidi🤸♀️🤗
tunaendelea Kwenye ile sentesi yako😄😄unapoenda mpaka wapi PM ,nikija huko utakimbia mwenyewe
nisinzie nikiwa nimekumbatia Simuujitahidi mpaka usinzie
yako pm nakuja uniambie ngano ni ninitunaendelea Kwenye ile sentesi yako😄😄
simu huleta ugomvi, lakini huba huleta furaha na amaninisinzie nikiwa nimekumbatia Simu
ngano ni zao lenye mfanano wa punje za mchele likiwa halija kobolewayako pm nakuja uniambie ngano ni nini
bado inaenda vizuri kabisa🤣🤣🤣tunaendelea Kwenye ile sentesi yako😄😄
amani hutokea pindi mnapo kubaliana kuishi kwa kuaminianasimu huleta ugomvi, lakini huba huleta furaha na amani
kobolewa ni neno la kihisiangano ni zao lenye mfanano wa punje za mchele likiwa halija kobolewa
hisia zinampata Binti wa zamani mpka anacheka kwenye kila commentkobolewa ni neno la kihisia
kumianiana kwanza au kupeana u.t.m kinaanza kipiamani hutokea pindi mnapo kubaliana kuishi kwa kuaminiana
kipi kilicho kufanya useme hivyokumianiana kwanza au kupeana u.t.m kinaanza kipi
coment ni za moto sana Binti wa zamani ametupa nafasi tumalize kucheza,akija nae nitaweza kweli??hisia zinampata Binti wa zamani mpka anacheka kwenye kila comment
kweli lazima ufanye hivyo hamna namnacoment ni za moto sana Binti wa zamani ametupa nafasi tumalize kucheza,akija nae nitaweza kweli??
hivyo ndiyo mahusiano ya watu huanza huchagua sasa kupeana ama kuaminiaba kama wahindikipi kilicho kufanya useme hivyo
wahindi wengi ni waongo ukifuatilia maigizo yao utaumiahivyo ndiyo mahusiano ya watu huanza huchagua sasa kupeana ama kuaminiaba kama wahindi
namna hii utaniua sio kwa kunibana hivikweli lazima ufanye hivyo hamna namna
Utaumia au utapata rahawahindi wengi ni waongo ukifuatilia maigizo yao utaumia
utaumia ukisikiliza hili byimbo ya kuchikuchi otae iba hisia kali sana,nawapenda wahindiwahindi wengi ni waongo ukifuatilia maigizo yao utaumia