Wa mwisho ndiyo mshindi

Ndio maana nawashangaa sana kivip hamtaki kumaliza mchezo
Mchezo utaendelea mpaka apatikane mshindi mmoja ipo siku, hujaona Ibn Unuq katangaza kutoa mil 10 😅😅 hivyo mshindi atapatikana tu na nikizeeka nampatia na mwanangu ipo siku na yeye aendeleze ligi
 
Ligi kumbe inaushawishi na hausemi kiongozi
 
Kiongozi unuq katangaza dau, nina mpango wa kuwambia mods wafunge uzi ikiwa comment yangu ikiwa ya mwisho, nitawapatia asilimia 30 ya ushindi wangu
 
Wangu ushauri ni kuwa andika nyuzi kuomba member wote wa JF wasiguse huu Uzi unaweza kupata ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…