Wa mwisho ndiyo mshindi

Kushindwa ni hatua moja zaidi kufikia mafanikio
 
Mkuu nakwambia moderetors wakisema mshindi wa huu uzi anapigwa bann hakuna hata mmoja ataingia hapa
Hapa ikibidi tuwakomalie moderators watuambie mapema mshindi atapewa nini, ili kama ni kweli zawadi ni kupigwa bann ntokomee kwenye huu uzi fasta sana na mshindi apatikane leo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…