cool sana mshikaji ila apunguze mashauziBenny ni mshakaji flan cool
cool sana mshikaji ila apunguze mashauzi
Kweli nimeamini usiache mbachao kwa msala upitao.Hahahaa! Ukawa Wananifurahisha Kwelikweli
Kweli nimeamini usiache mbachao kwa msala upitao.
msala wa kungonoka na monica bill clinton hatousahauupitao umepita ukirudi ni msala
Hatousahau msaada aliompa Vasco na malipo aliyoyapata!!msala wa kungonoka na monica bill clinton hatousahau
Milele na milele sitomsaidia mtu kwa makubaliano ya yeye kuja kunisaidia nifanikishe ndoto zangu..Aliyoyapata RIZLA one kwenye utawala wa baba yake hatoyasahau milele
zako zikiisha sitaki uje unikope @kirakapacha ubinafsi hatuutaki jfZangu zangu zako zako
kurelax kumeisha Leo kesho kaziJf inakoelekea itakuwa sehemu ya kurelax
kazi ni kazi kikubwa mkono uende kinywanikurelax kumeisha Leo kesho kazi
kinywani kwangu jino limetobokakazi ni kazi kikubwa mkono uende kinywani
limetoboka kwa sababu hupigi mswakikinywani kwangu jino limetoboka
mswaki ninaotumia ni gharama.limetoboka kwa sababu hupigi mswaki
rahisii kama kumsukuma mleviGharama kwako kwangu rahisii
Mwendawazimu ni yule aliyesifia safari za nje za Jk na kusema zina manufaa lakini magufuli alipozizuia akampongeza magufuli!Mlevi ni ni nusu ya mwendawazimu..