Bwimbwi ndio nini jamani.
jaman, kama hujakulia pwani basi kujua bwimbwi ni ngumu
Bwimbwi ndio nini jamani.
jaman, kama hujakulia pwani basi kujua bwimbwi ni ngumu
Ngumu kama nini?
Nini ? Kwan ww unataka kujua kitu gani
Please dont try to make yourself a winner
winner ni winnie
Winnie Mandela ameshazeeka.
tandale ni sehemu ambayo diamond alikuwa anaishi zamani sana
Sana sana kwa tumbo ndio ilikua yake maskani.
yake nyumba na mkewe zari i wapi!
wapi ntapata namba ya wema sepetu nina ujumbe wake?
wake kwa waume wanatafuta hizo namba hawapati sembuse wewe kijana mdogo uliyekuja juzi! khaa adosi mawe khayen
Khayen!!!
I don't get you.
mchezo huu i bet utaishi siku atakaporudi yesu