Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
struggle is good but God plan everythingMasikini ni wale wanaoishi kwa kulalamika tu without struggle
everything i do _ brian adams.
Adams hajui kiswahili mkuu
Tanganyika iliyapomo changati usweswe
usweswe ni kiluga chenu.
Chenu ni cha wote changu ni changu mwenyewe mwenyewe hapa nilipo nahitaji pesa
Mwambao wa pwani una wanawake wazuri sana.
Sana tena sana Alikiba ni zaidi ya Diamond ila watu wanaeka ushabiki mbele
Mbele ya nyumba yetu kuna duka la unga wa kupikia bwimbwi