reynod
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 386
- 373
Heshima kubwa haisaidii kuondoa umaskini wetu watanzaniaNje ya Tanzania tuna heshima kubwa
Heshima kubwa haisaidii kuondoa umaskini wetu watanzaniaNje ya Tanzania tuna heshima kubwa
Watanzania ni watu wa kujisifuHeshima kubwa haisaidii kuondoa umaskini wetu watanzania
Kujisifu iwe kiasi isipitilizeWatanzania ni watu wa kujisifu
Nalog off
Isipitilize sio neno la KiswahiliKujisifu iwe kiasi isipitilize
Kiswahili ni lugha inayofundishiwa ktk vyuoo huko Marekani na waalimu wa Kenya...Isipitilize sio neno la Kiswahili
Kenya wana njaa sanaKiswahili ni lugha inayofundishiwa ktk vyuoo huko Marekani na waalimu wa Kenya...
Sana sana Mpendwa usidharau janga/msiba wa mwenzio!!Kenya wana njaa sana
Mwenzio ana mawazo mengi leoSana sana Mpendwa usidharau janga/msiba wa mwenzio!!
Leo ni yako itumikie vilivyoMwenzio ana mawazo mengi leo
Itumike vilivyo kwa sababu haitajirudiaLeo ni yako itumikie vilivyo
Haitajirudia fedheha niliyopata Nisamehe wangu PrincessItumike vilivyo kwa sababu haitajirudia
Princess huwa ni mremboHaitajirudia fedheha niliyopata Nisamehe wangu Princess
Mrembo ni lazima ashangilie SimbaPrincess huwa ni mrembo
Simba amevamia mbugaMrembo ni lazima ashangilie Simba
Nalog off
Mbuga zetu za Taifa ni vizuri kuzitembeleaSimba amevamia mbuga
Kuzitembelea kila wakati ili kukuza utalii wa ndaniMbuga zetu za Taifa ni vizuri kuzitembelea
Nalog off
Wanatokelezea kichwa kichwa ili wasionekaneNdani kuna panya wenye sifa wageni wakija wanatokelezea
Wasionekane na wenyeji tu bali pia na wageniWanatokelezea kichwa kichwa ili wasionekane
Wageni lazima waonekaneWasionekane na wenyeji tu bali pia na wageni
Nalog off