Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Waonekani ili majirani wajue ya kuwa hauko pekee yakoWageni lazima waonekane
Nalog off
Waonekani ili majirani wajue ya kuwa hauko pekee yakoWageni lazima waonekane
Yako wingi wake vyakoWaonekani ili majirani wajue ya kuwa hauko pekee yako
Nalog off
Vyako hakuna bali vya wote vipoYako wingi wake vyako
Vipo viporo !!?Vyako hakuna bali vya wote vipo
Mwezi huu wa JULY tumepoteza ndugu maarufu..viporo!!? kuvipasha raha sana ila usigutukiwe kwenye ndoa na mwezi
Ndugu maarufu mliyempoteza bila Shaka Mungu ataliziba pengo hiloMwezi huu wa JULY tumepoteza ndugu maarufu..
Hilo nalo litapitaNdugu maarufu mliyempoteza bila Shaka Mungu ataliziba pengo hilo
Nalog off
Litapita kama hayo mengineHilo nalo litapita
Mengine ataenda kuyafanya huko aendako baada ya kutemwa na SimbaLitapita kama hayo mengine
Simba ni timu imaraMengine ataenda kuyafanya huko aendako baada ya kutemwa na Simba
Nalog off
Imara kwa kujibebesha mgongoni mwa refa !!Simba ni timu imara
Anapendelea kwa Sababu zake binafsiRefa anapendelea
Binafsi sipendi mpiraAnapendelea kwa Sababu zake binafsi
Mpira umeahirishwa kisa mvuaBinafsi sipendi mpira
Mvua huharibu shughuli nyengine nyingi zaidi ya mpiraMpira umeahirishwa kisa mvua
Mpira wa tanzania umejaa siasaMvua huharibu shughuli nyengine nyingi zaidi ya mpira
Nalog off
Mpira mpira huu uraibu unapoteza umma na taifa kwa ujumla....Mvua huharibu shughuli nyengine nyingi zaidi ya mpira
Nalog off
Siasa ni porojo tupu ukipokea itakugharimuMpira wa tanzania umejaa siasa