Watu!!! Humu utajua tu wenye akili za ngono njinsi wanavyo changia
Chumvi ndio inaleta ladha ya Chakula.
Chakula kitamu kipikwe na mama mzuri
Mzuri si hoja tabia njema ni silaha utapendwa popote
Pombe ni mbaya asubuhi tu pale unapoamka.
Unapoamka unatakiwa umagufulike ili kujiweka fresh.
Fresh air ni muhimu kwa Maisha ya binadamu.
Binadamu tumekuwa wakatili kuliko wanyama.
Wanyama siku zote wamekosa rational