localizer
Senior Member
- Jul 25, 2015
- 121
- 70
Sizipendi sera za CCM kukata viongozi wanaokubarika.
wanaokubalika ni wengi ila ccm ni ileile
Sizipendi sera za CCM kukata viongozi wanaokubarika.
ile ile.
gani inatosha kwa sasa tuache TU.
Tuta la mchicha linaeza kua na ukubwa gani??
Algeria awafunga Taifa stars
Nyota waliziona kweli jana
Mlevi hana thamani hapa duniani
Mlima mrefu kuliko yote barani la Afrika ni mlima kilimanjaro
Kichuguu ni makazi ya mchwaKilimanjaro toka uanze kuyeyuka haujaisha tu? Nilidhani ushabakia kichuguu
Kichuguu ni makazi ya mchwa
Mchwa wana akili sana, wanaushirikiano ktk utendaji wa shughuli zao lkn watz mh!