mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Tanzania nchi iliyojaa kila kitu chema ila watu wake masikini
Masikini kwa sababu watu hawana kazi za kufanya wala viwanda
Tanzania nchi iliyojaa kila kitu chema ila watu wake masikini
Masikini kwa sababu watu hawana kazi za kufanya wala viwanda
Viwanda vingi vimebinafsishwa braza beni alipokuwa madarakani.
Madarakani kama hutaki kuondoka kwa mujibu wa katiba tutakung'oa kwa nguvu
Chembe chembe ndio hizo zimeanzishwa Zanzibar na Pemba...
Ccm imeshinda uchaguzi mwaka huu 2015
ccm siipendi kweli
Mali za umma sasa hivi ziko salama, mbele ya Hapa ni Kazi TU!!