Kupingwa atapingwa tu maana dhambi ya ufisadi bado inamtafuna
Inamtafuna?!kwani ina meno?
Kupingwa atapingwa tu maana dhambi ya ufisadi bado inamtafuna
Inamtafuna?!kwani ina meno?
Meno inayo japo sio meno uliyoyazoea wewe
wewe na mimi hakika tutashibana.
Tutashibana kwa sababu tutapendana
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?
hapo ndo kajikamua kweli yani!