utashinda siku magufuli akistaafu siasaHujasoma! sio tatizo kikubwa jitihada na kumwomba mungu tu utashinda
Siasa za Bongo zinahitaji uongo...utashinda siku magufuli akistaafu siasa
Siasa za Bongo zinahitaji uongo...
Uongo mwingi mwingi kama huu wa chadema
mwenyewe unaweza kujitangaza ukipenda
Utapendwa na watu kma mtoa rushwa
Lowasa mwenyewe mla rushwa itaishaje hapo
tujiulize mara ngapi wakati hata huko chadema ametoa billion 10 agombee peke yake bila kupingwa.