life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Watanzania wanapenda Siasa kuliko kazi za ujenziKipingamizi cha nini kwenye kuboresha maisha ya watanzania!
Watanzania wanapenda Siasa kuliko kazi za ujenziKipingamizi cha nini kwenye kuboresha maisha ya watanzania!
Gani ni kituo cha daladala Kipo uku kwetuTanzania ilipata Uhuru mwaka gani?
Kwetu mimi ndiye handsome kuliko wote!Gani ni kituo cha daladala Kipo uku kwetu
Wote wenye subira watauona ufalme wa munguKwetu mimi ndiye handsome kuliko wote!
Mungu ni mwemaWote wenye subira watauona ufalme wa mungu
Mwema kivipi?Mungu ni mwema
Kivipi hutaki kuamini kuwa mungu ni mwemaMwema kivipi?
Mwema kwa wenye nacho ila asienacho hawezi kuona hilo
Weekend ni siku za furaha kwa waajiriwaBaa zinafurika mapema hasa kipindi cha weekend
Waajiriwa wana tabu awamu hii sio km unavyofikiriaWeekend ni siku za furaha kwa waajiriwa
Unavyofikiria wewe ni sahihi lakini kila mtu ana maamuzi ya matumizi yakeWaajiriwa wana tabu awamu hii sio km unavyofikiria
Yake ni sawa kwa kua kazi na bata ndio kauli mbiuUnavyofikiria wewe ni sahihi lakini kila mtu ana maamuzi ya matumizi yake
Samunojo ni kikorea ama kijapaniMbiu ya kitamurente ni yaki samunojo
Kijapani au KichinaSamunojo ni kikorea ama kijapani
Kichina ni lugha nyepesiKijapani au Kichina