life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Kisiasa Kuna ahadi na malengo yasiyo timizika !!Anatafutwa mdude kijana shupavu na mkomavu kisiasa
Kisiasa Kuna ahadi na malengo yasiyo timizika !!Anatafutwa mdude kijana shupavu na mkomavu kisiasa
yasiyotimizika yashajulikana kabla ya miaka aliyokaa madarakaniKisiasa Kuna ahadi na malengo yasiyo timizika !!
Muruwa!!, safiii, tamuuu, ni supu ya mbuzi inayopatikana kwa mama pasi
Madarakani ni sawa na ndoto nyevu,kuisha kwake ni nadra sana kutokukuchafuayasiyotimizika yashajulikana kabla ya miaka aliyokaa madarakani
Kutokukuchafua ni vigumu kwa kua siasa ni mchezo mchafuMadarakani ni sawa na ndoto nyevu,kuisha kwake ni nadra sana kutokukuchafua
Kutokuchafua mazingira ni uzalendo mkubwaMadarakani ni sawa na ndoto nyevu,kuisha kwake ni nadra sana kutokukuchafua
Mkubwa fella yuko wapi siku hizi??
Hizi zama hazitabiriki
Hewa ya leo imechafuliwa na video za faragha zinazomchafua baba AskofuHazitabiriki kama hii hali ya hewa.
Baba askofu? Kweli huyu ni baba askofu! Siamini.Hewa ya leo imechafuliwa na video za faragha zinazomchafua baba Askofu
Siamini kama ni yeye ila nahisi ni njia moja wapo ya kumchafua kisiasa.Baba askofu? Kweli huyu ni baba askofu! Siamini.
Kisiasa kwani yeye ni mwanasiasaSiamini kama ni yeye ila nahisi ni njia moja wapo ya kumchafua kisiasa.
Mwanasiasa wa kidini labdaKisiasa kwani yeye ni mwanasiasa
Labda tumsubiri mwenyewe aje athibitishe kama kuna ukweli wowote kuhusu hizi video.Mwanasiasa wa kidini labda
Labda tumsubiri mwenyewe aje athibitishe kama kuna ukweli wowote kuhusu hizi video.
Yetu macho wacha tuone mwisho wakeVideo ya baba Askofu imetushitua mioyo yetu
Wake za watu wanatakiwa wajiheshimuYetu macho wacha tuone mwisho wake
Wajiheshimu kabisa mambo ya kutoka kimahaba na baba Askofu ni kumfedheheshaWake za watu wanatakiwa wajiheshimu
Kumfedhehesha kajitakia ila j.pili ataliamsha dudeWajiheshimu kabisa mambo ya kutoka kimahaba na baba Askofu ni kumfedhehesha