bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Alivyo Piere ni kwa nini viongozi wetu wanamuona ni mtu wa maanaVitendo atendavyo mtu ni picha tosha ya jinsi gani alivyo
Maana ya neno kenda ni tisaAlivyo Piere ni kwa nini viongozi wetu wanamuona ni mtu wa maana
tisa ni kabla ya kumi na kumi ni tarakimu maarufu sanaMaana ya neno kenda ni tisa
Sana kwa kua kumi imebeba mambo mengitisa ni kabla ya kumi na kumi ni tarakimu maarufu sana
Mengi na mengineyo ni kama maneno yanayofanana lakini ni tofautiSana kwa kua kumi imebeba mambo mengi
Tofauti na hayo ulotaja neno mengine je?Mengi na mengineyo ni kama maneno yanayofanana lakini ni tofauti
Je?ni mbunge gani aliekopeshwa gari na ile saccoss ya chadema
chadema haijamkopesha mtu gari. Lumumba ni kwa nini mnapenda kupotosha mamboJe?ni mbunge gani aliekopeshwa gari na ile saccoss ya chadema
mambo ndio yalivyo kutokana na yule msemajichadema haijamkopesha mtu gari. Lumumba ni kwa nini mnapenda kupotosha mambo
Msemaji msema chochote hujifanya kuongea kama msemaji mjua chochote, hakuna aliyekopeshwa gari kwa mujibu wa msemaji mjua chochotemambo ndio yalivyo kutokana na yule msemaji
Msemaji mjua chochote ndie aliesema gari wamelinunua ila wapo nalo mpaka pale atakapomaliza mkopo wake ndio atakabidhiwaMsemaji msema chochote hujifanya kuongea kama msemaji mjua chochote, hakuna aliyekopeshwa gari kwa mujibu wa msemaji mjua chochote
Atakabidhiwa gari kwa misingi ganiMsemaji mjua chochote ndie aliesema gari wamelinunua ila wapo nalo mpaka pale atakapomaliza mkopo wake ndio atakabidhiwa
gani siyo ghani lakini wanaoghani mashairi ya uongo kwamba kuna mtu kakopeshwa gari ndiyo wanaokeraAtakabidhiwa gari kwa misingi gani
Gani Siasa imewashawishi kuingiza ktk uzi Huu maridadi?????Atakabidhiwa gari kwa misingi gani
Wanaotukera !! Basi jamani tuachane nayo walao hapa ktk kujiliwazagani siyo ghani lakini wanaoghani mashairi ya uongo kwamba kuna mtu kakopeshwa gari ndiyo wanaokera
maridadi ni uchezaji wa TP Mazembe wanaocheza kama Professa Assad mwenye jina la kiarabu linalomaanisha SimbaGani Siasa imewashawishi kuingiza ktk uzi Huu maridadi?????
Wewe Simba acha kuchokonoa ...maridadi ni uchezaji wa TP Mazembe wanaocheza kama Professa Assad mwenye jina la kiarabu linalomaanisha Simba
Itavuna umeme wa nguvu kubwa !!