life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Hai au maiti yote ni masumbuko...
Hai au maiti yote ni masumbuko...
Masumbuko ni moja ya jina ambalo siwezi nikalitoa ktk kizazi changuHai au maiti yote ni masumbuko...
Changu cha wote ila chenu ni chenu pekeeMasumbuko ni moja ya jina ambalo siwezi nikalitoa ktk kizazi changu
Changu ukiongeza neno "doa" inasomeka changudoa.Masumbuko ni moja ya jina ambalo siwezi nikalitoa ktk kizazi changu
Changudoa lina maana ya mwanamke muuza papuchi
Papuchi yake lazima ichakaeChangudoa lina maana ya mwanamke muuza papuchi
Hai ni jimbo la mheshimiwa Freeman Mbowe huko kilimanjaro
Kilimanjaro ni mkoa ambao mlima huo unapatikanaHai ni jimbo la mheshimiwa Freeman Mbowe huko kilimanjaro
Kingereza NI lugha ya kimatifa yenye heshima kisiasa na kibiashara...
kibiashara kama TP mazembeKingereza NI lugha ya kimatifa yenye heshima kisiasa na kibiashara...
Kibiashara wakati haijakaguliwa na SIEJIIKingereza NI lugha ya kimatifa yenye heshima kisiasa na kibiashara...
CAG kwa lugha ya kiengerza NI "Controller of Audit General" mkaguzi wa hesabu za Serikali !!Kibiashara wakati haijakaguliwa na SIEJII
Serikali ili iwe serikali wanaoingoza ni lazima wafuate Katiba na sheria za nchiCAG kwa lugha ya kiengerza NI "Controller of Audit General" mkaguzi wa hesabu za Serikali !!
Nchi ipo Salaama nasi tupo ktk Amani....Serikali ili iwe serikali wanaoingoza ni lazima wafuate Katiba na sheria za nchi
Amani maana yake si ukosefu wa vita peke yake, amani ina maana pana sanaNchi ipo Salaama nasi tupo ktk Amani....
Sana inabore hasa kwa sisi waungwanaAmani maana yake si ukosefu wa vita peke yake, amani ina maana pana sana
Vitendo visivyo na maadili huzalisha