Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Kiporo wa wali maharage na chai ya rangi yaani utajilambaTaamu yake unaipata pale unapo kula kiporo
Kiporo wa wali maharage na chai ya rangi yaani utajilambaTaamu yake unaipata pale unapo kula kiporo
Utajilamba ukionja asaliKiporo wa wali maharage na chai ya rangi yaani utajilamba
Maharage na wali usipimeee,,, naona mawazo yamegonganaKiporo kinachonoga ni cha wali maharage
Asali ni tamu ila sio chakula
Chakula cha usiku kinakuwaga kizuri sanaAsali ni tamu ila sio chakula
Maharage na wali usipimeee,,, naona mawazo yamegongana
Asali ni tamu ila sio chakula
Chakula chenyewe kidogo hatutashiba
Hatutashiba tukila chipsi kuku
Sikuhizi kunyoa nywele wadada ndo fashionKuku wa kienyeji wamehadika sikuizi
Liquid baa saiv imefungwaFashion ni isoookeee sey oyeeeeee konki liquid
Sababu hazijulikani ila toka vyuma vianze kukaza kuna pini paleImefungwa kwa ipi sababu?
Sababu hazijulikani ila toka vyuma vianze kukaza kuna pini pale
Katuma kutoka telegram.me/smatskills
Lini nchi ya Uingereza ilipaya uhuru au yenyewe ilikuwa inatawala tuPale pameanza kufungwa lini?
Lini lini nini sasa[emoji849][emoji849][emoji849] nimesema sijui mi naona kofuli tu mlangoniPale pameanza kufungwa lini?
mlangoni pale palikuwa na kufuli ndogo tu ambayo ungeweza kuivunja na kuingia ndaniLini lini nini sasa[emoji849][emoji849][emoji849] nimesema sijui mi naona kofuli tu mlangoni
Katuma kutoka telegram.me/smatskills