Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Piere Curie ni Mwanasayansi aliyegundua Radioactivity
Piere Curie ni Mwanasayansi aliyegundua Radioactivity
Mombasa ipi unayoizungumzi?Mambo Mombasa
Unayoizungumzia wewe na yeye ni tofauti kwani?Mombasa ipi unayoizungumzi?
Kwa nini unauliza swali badala ya kujibu swali?
Swali limenishinda ndiyo maana nimekuuliza wewe mwenyeweKwa nini unauliza swali badala ya kujibu swali?
Mwenyewe sijui ndio natafuta jibu
Unishtue ukitaka kuondoka
Kuondoka kwa paka ni furaha ya panya.Unishtue ukitaka kuondoka
Panya akikung'ata anakupuliza ili usijishtukie kung'atwaKuondoka kwa paka ni furaha ya panya.
Kung'atwa na panya ni uzembePanya akikung'ata anakupuliza ili usijishtukie kung'atwa
Uzembe ni pale unapomuacha anakutorokaKung'atwa na panya ni uzembe
Anakutoroka kwa madoido huku akichezesha mkia na chura yake.Uzembe ni pale unapomuacha anakutoroka
Chura yake haiwezi kuchezaAnakutoroka kwa madoido huku akichezesha mkia na chura yake.
Yake meno ni makali mithili ya mwibaAnakutoroka kwa madoido huku akichezesha mkia na chura yake.
Mwiba wa koo kwenye wali manda habari yake ni kubwaYake meno ni makali mithili ya mwiba
Kubwa kuliko kunyongwaMwiba wa koo kwenye wali manda habari yake ni kubwa
Kunyongwa sehemu gani?Kubwa kuliko kunyongwa
Kubwa la kushangaza aliye kuwa kada wa chama democracia na maendeleoMwiba wa koo kwenye wali manda habari yake ni kubwa