Wa mwisho ndiyo mshindi

Ugali, wali, nyama, ndizi ...
Ndizi unapika hivi, unamenya ndizi then unazikata unaweka kwenye sufuria na maji, baadae unakatia katia nyanya,vitunguu, karoti na hoho unaweka jikoni baada ya hapo subiria ziive, hatimaye chakula tayari
 
Tayari hii nishajua, asante sana. Je, nyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…