massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
hii ni awamu ni ya kizembe haijawahi kutokeaYenu kuzungumza pesa za wizi na mambo ya siasa, sikatai ni haki ya kila mtanzania lakini je nyie mko makini kwa awamu hii.
hii ni awamu ni ya kizembe haijawahi kutokeaYenu kuzungumza pesa za wizi na mambo ya siasa, sikatai ni haki ya kila mtanzania lakini je nyie mko makini kwa awamu hii.
kutokea ni pale mwiba ulipoingiliahii ni awamu ni ya kizembe haijawahi kutokea
Ulipoingilia ndipo ziliko 1.5kutokea ni pale mwiba ulipoingilia
1.5 zinawatia wakubwa kiweweUlipoingilia ndipo ziliko 1.5
Kiwewe kimeletwa na wasiojua mahesabu1.5 zinawatia wakubwa kiwewe
mahesabu bila ya kuhesabu vinavyotakiwa kuhesabiwa ni upotoshajiKiwewe kimeletwa na wasiojua mahesabu
Upotoshaji wa waziwazi haufai!mahesabu bila ya kuhesabu vinavyotakiwa kuhesabiwa ni upotoshaji
Haufai kwa kuwa ni uongoUpotoshaji wa waziwazi haufai!
Uongo mbayaa.. Huu uzii unadumu aisee nlijua ushakufaa..!!Haufai kwa kuwa ni uongo
akufaaye kwa dhiki ndo rafikiUongo mbayaa.. Huu uzii unadumu aisee nlijua ushakufaa..!!
Rafiki wakati wa dhiki kama karaha mpe mnafikiakufaaye kwa dhiki ndo rafiki
mnafiki ni yule aliyokuwa anasapoti 26042018, alafu kaja kuamka saa saba.Rafiki wakati wa dhiki kama karaha mpe mnafiki
Saa saba bado sio mda mbaya maana sio leoo tuu... Ni muendelezooomnafiki ni yule aliyokuwa anasapoti 26042018, alafu kaja kuamka saa saba.
Muendelezo wa haya mazungumzo utajikuta unaulizwa vyeti vya kuzaliwa vya babuSaa saba bado sio mda mbaya maana sio leoo tuu... Ni muendelezooo
Babu na wajukuu zake wamechezeana mpaka kumekuchaMuendelezo wa haya mazungumzo utajikuta unaulizwa vyeti vya kuzaliwa vya babu
Kumekucha na hali ya hewa tulivu..Babu na wajukuu zake wamechezeana mpaka kumekucha
Tulivu ni hari inayohitajika kila kuchaoKumekucha na hali ya hewa tulivu..
Kuchao neno gumu nakosa pa kuanziaTulivu ni hari inayohitajika kila kuchao
Kuanzia pale utakaponitanga mie ndio mshindi wa huu uziKuchao neno gumu nakosa pa kuanzia
Uzi wenyewe baaado haujapata sindanoKuanzia pale utakaponitanga mie ndio mshindi wa huu uzi