bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Watanzania ni watu waoga
Waoga kufanya nini
Watanzania ni watu waoga
nini kikusikitishachoWaoga kufanya nini
nini kikusikitishacho
nami pia naumia saana kuona vyama vya upinzani ukiangamizwa ili turudi chama kimoja kwa hilaKikusikitishacho ndicho kinisikitishacho nami pia
Hila , visasi , ubabe , ubinafsi , uvyama , kejeli , roho mbaya , ukabila na upendeleo ni vitu ambavyo vitachelewesha sana maendeleo ya taifa letunami pia naumia saana kuona vyama vya upinzani ukiangamizwa ili turudi chama kimoja kwa hila
Taifa letu au Taifa lao!Hila , visasi , ubabe , ubinafsi , uvyama , kejeli , roho mbaya , ukabila na upendeleo ni vitu ambavyo vitachelewesha sana maendeleo ya taifa letu
Taifa lao tutalitingisha tarehe 26/04Taifa letu au Taifa lao!
Muungano wetu ndo kukomboka kwetu utumwani
Kabisa imetika sana Katika Uzi huuUtumwani siko kuzuri kabisa.
Mshindi atapatikana pale majambazi na matapeli ya CCM yatakaporudisha hizi pesa zote yalizoibahuu uzi utausha lini tupate mshindi?
Yalizoiba kwa sababu ya uzwazwa wa binadamu wa Tanzania.Mshindi atapatikana pale majambazi na matapeli ya CCM yatakaporudisha hizi pesa zote yalizoiba
View attachment 748840
Mimi ndiye malaika Jiwe na nimesema sirudishi 1.5 trilioni nilizowaibia ovaMshindi ni mimi
Ova the kingdomMimi ndiye malaika Jiwe na nimesema sirudishi 1.5 trilioni nilizowaibia ova
Yenu kuzungumza pesa za wizi na mambo ya siasa, sikatai ni haki ya kila mtanzania lakini je nyie mko makini kwa awamu hii.Ongea yote lakini escrow haikuwa pesa yenu