God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Siku tele kweli kabisa, ila inshaallah mambo yanaenda, na ubize mwingi.Wangu kaka mi sijambo kabisa. Habari ya siku tele.
Siku tele kweli kabisa, ila inshaallah mambo yanaenda, na ubize mwingi.Wangu kaka mi sijambo kabisa. Habari ya siku tele.
mwingi wa rehema na upendo ni Mungu pekeeSiku tele kweli kabisa, ila inshaallah mambo yanaenda, na ubize mwingi.
Pekee navinjari kwenye uzi huu saa hizi!mwingi wa rehema na upendo ni Mungu pekee
saa hizi ni asubuhi ya siku nyingine tenaPekee navinjari kwenye uzi huu saa hizi!
Tena tunapaswa kumshukuru aliye juu kwa kutujalia uzima na afya iliyo njema.saa hizi ni asubuhi ya siku nyingine tena
Njema imenishinda kuitengenezea sentensi emmytaTena tunapaswa kumshukuru aliye juu kwa kutujalia uzima na afya iliyo njema.
Emmyta hajambo kabisa anamshukuru allah. Pole sana mkuu. Mzima?.Njema imenishinda kuitengenezea sentensi emmyta
Mzima? Mzima wa afya tele hofu kwako emmytaEmmyta hajambo kabisa anamshukuru allah. Pole sana mkuu. Mzima?.
Emmyta wa jf analijenga Taifa sasa.Mzima? Mzima wa afya tele hofu kwako emmyta
Sasa tulijenge taifa wote kwa kupeana michongo emmytaEmmyta wa jf analijenga Taifa sasa.
Emmyta hana michongo yupo yupo tu anapambana na hali yake usawa huu wa hapa kazi.Sasa tulijenge taifa wote kwa kupeana michongo emmyta
Kazi huna, michongo huna hata mawazo huna emmyta!!Emmyta hana michongo yupo yupo tu anapambana na hali yake usawa huu wa hapa kazi.
Emmyta mawazo hakosi ila michongo ndio hanaKazi huna, michongo huna hata mawazo huna emmyta!!
Hana michongo kwa mda mfupi (short term) maadam ana mawazo michongo atapata.Emmyta mawazo hakosi ila michongo ndio hana
atapata tu Mola atamjaalia tena sanaHana michongo kwa mda mfupi (short term) maadam ana mawazo michongo atapata.
Tena sana naipenda jfatapata tu Mola atamjaalia tena sana
JF inapendwa na wengi si wewe tu.Tena sana naipenda jf
Tunapenda kushinda jukwaa la jokes sana sana hapa kwenye uzi wa wa mwisho ndio mshindiJF inapendwa na wengi si wewe tu.
mwisho wa dhiki farajamshindi nimepatikana lakini sio wa mwisho
Faraja kota alikuwa miss tz kabla haijafutwamwisho wa dhiki faraja