Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,490
Salama yetu wana jf ni kwamba tunatumia fake ids ndio maana kule siasani watu wanafunguka bila woga wowote.Mzima kabisa namshukuru Muumba. Nimefarijika kusikia upo salama
Salama yetu wana jf ni kwamba tunatumia fake ids ndio maana kule siasani watu wanafunguka bila woga wowote.Mzima kabisa namshukuru Muumba. Nimefarijika kusikia upo salama
woga wowote ule usio na msingi haufai katika harakati za maendeleoSalama yetu wana jf ni kwamba tunatumia fake ids ndio maana kule siasani watu wanafunguka bila woga wowote.
Maendeleo yanaletwa na watu wenyewe kwa kufanya kazi na si kwa kupiga majungu.woga wowote ule usio na msingi haufai katika harakati za maendeleo
Majungu sio mtajiMaendeleo yanaletwa na watu wenyewe kwa kufanya kazi na si kwa kupiga majungu.
Mtaji wa maskini ni nguvu zako.Majungu sio mtaji
Zako sifa zimezidi sio kama zangu kwani zina tofauti sana.Mtaji wa maskini ni nguvu zako.
Sana sana inategemea ni sifa gani. Nzuri au mbaya zote ni sifa!Zako sifa zimezidi sio kama zangu kwani zina tofauti sana.
Sifa za kuwa na umri mkubwa ndani ya jfSana sana inategemea ni sifa gani. Nzuri au mbaya zote ni sifa!
JF ina kila kitu, kwa wakubwa na wadogo piaSifa za kuwa na umri mkubwa ndani ya jf
Pia wazee umewasahau mbonaJF ina kila kitu, kwa wakubwa na wadogo pia
mbona wazee jf hawajulikani wazi maana karibu kila mtu ajifanya kijana au wa makamoPia wazee umewasahau mbona
Makamo yangu hakuna humu mana nakaribia 50mbona wazee jf hawajulikani wazi maana karibu kila mtu ajifanya kijana au wa makamo
50? Hahaha acha utani mkuuMakamo yangu hakuna humu mana nakaribia 50
Mkuu. Huo ndio ukweli ujue50? Hahaha acha utani mkuu
ujue napata wakati mgumu kuamini hiloMkuu. Huo ndio ukweli ujue
Hilo ndio la ukweli mkuu.ujue napata wakati mgumu kuamini hilo
Ukweli mkuu ni ule utokako kwako daderi wangu, ila kusema uwongo ni dhambi.Hilo ndio la ukweli mkuu.
Wangu kaka mi sijambo kabisa. Habari ya siku tele.Ukweli mkuu ni ule utokako kwako daderi wangu, ila kusema uwongo ni dhambi.
U mzima lakini daderi wangu
Tele ni msamiati unaotumika kuelezea wingiWangu kaka mi sijambo kabisa. Habari ya siku tele.