Kila uchwao afadhali ya janaUhakika wa angalau 90% ya maji safi na salama ndio tunàouhitaji kwanza. Tuachane kushirikiana maji pamoja na wanyama, mithili ya kuruti ndani ya "six week", bei ya mafuta ya taa ishuke pia, (n.k) iwe rafiki ya bibi yangu aliyeko kule Lusala.
Baada/sanjali na hapo ndio umeme ufuate baada kidogo ya maji kunyanyua mguu. Hapo tutaifurahia Tanganyika angalau tunayoiota kila uchwao.
Jana ndio siku pekee iliyokuwa rahisi kwangu. Kesho yangu siujui ugumu wake.Kila uchwao afadhali ya jana
Wake kwa waume wote tuwajibikeniJana ndio siku pekee iliyokuwa rahisi kwangu. Kesho yangu siujui ugumu wake.
Mafanikio huja kwa wenye kufanikiwa. Sawa na asiye na bahati, habahatiki.Tuwajibikeni ndio kauli mbiu ya kila mtu anaetaka mafanikio
Habahatiki huyu aliyepandisha huu uziMafanikio huja kwa wenye kufanikiwa. Sawa na asiye na bahati, habahatiki.
Uzi wa WambuziHabahatiki huyu aliyepandisha huu uzi
Wambuzi mkia hauna manyoyaUzi wa Wambuzi
Manyoya ya kukuWambuzi mkia hauna manyoya
Kuku wa kienyeji au wa kisasaManyoya ya kuku
Wakisasa simpendi napenda wa kienyejiKuku wa kienyeji au wa kisasa
Wa kienyeji ni watamu ila kuna utaalamu wake wa kuwapikaWakisasa simpendi napenda wa kienyeji
Kuwapika supu mi ndio napendaWa kienyeji ni watamu ila kuna utaalamu wake wa kuwapika
Napenda ziongezwe ndizi na viungo, wanaita mchemsho.Kuwapika supu mi ndio napenda
Mchemsho bila kukosa ndiziNapenda ziongezwe ndizi na viungo, wanaita mchemsho.
Ndizi zinamatumizi mengi wengine huchukulia kama chakula wengine tunda, wengine kifaa cha utamu kunako majambo ya wakubwa.Mchemsho bila kukosa ndizi
Mambo vipi weye?...
Weye mzima?Mambo vipi weye?...
Mzima kabisa kaka ake. NakusalimiaWeye mzima?