Wa mwisho ndiyo mshindi

Wengi wao ni waongo Tanzania wote taifa la bongo kwenye hard time tuna make bongo. Hahaaaaa. Nishasahau ni kundi gani ila najua ndani kulikuwa na Suma lee. Si eti...
Eti...hahaha Heshima kwako miss emmyta, Wimbo wa B town clan,suma Lee kaweka kolasi.

"Mupe mupe mupe raha,nazungumuzia bongo taifa lenye vitu vingi chini ya udongo"
 
Eti...hahaha Heshima kwako miss emmyta, Wimbo wa B town clan,suma Lee kaweka kolasi.

"Mupe mupe mupe raha,nazungumuzia bongo taifa lenye vitu vingi chini ya udongo"
Udongo mfinyanzi. Hahaaa. Bora umenikumbusha mana nilishasahau ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…