Wa mwisho ndiyo mshindi

Wote tufanye kazi na tufaidike na rasilimali zetu na sio wachache peke yao.

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Yaongezwe maslahi ya wafanyakazi katika ngazi mbalimbali za utumishi wa umma ili kuhamasisha utendaji kazi
 
Yaongezwe maslahi ya wafanyakazi katika ngazi mbalimbali za utumishi wa umma ili kuhamasisha utendaji kazi
Kazi ni msingi wa mafanikio. Ila bila ya maslahi hua michosho

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Nomino tajwa.... dooh God heals nilikimbia shule jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani basi pole, ila kawaida tu mimi mwenyewe hilo somo nilikuwa nalikimbia hatari![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…