Wa mwisho ndiyo mshindi

Baikoko naijua nilikuwa natoka Nguvu mali kuangalia Baikoko amboni au mikanjuni
Mikanjuni,sahare...Ebana kunakipindi tulitembea usiku wa manane kwenda donge kuishuhudia Baikoko.

Wanadada wanasasambua vilivyo wakati mwingine wanasaula nguo basi chachandu yote wazi..hehehe jamani Baikoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…