Unaijua tanzania ya vi wonder ndoo hii ajira hakuna na vijana wanawazo mgando kuwa ipo siku wataajiriwaKutwa kuranda mitandaoni sio vyema. Mm nishatoa sababu yangu kwa nn jana cjahudhuria, mwwnyekiti anaijua
Kutwa nzima? Waseme tu kwa kweliNataka kuwasema kwa kukaa kimya jana kutwa
KweliKutwa nzima? Waseme tu kwa kweli
Kweli anatesekaKweli
Kweli tupuKweli
Tupu lakini linasaidiaKweli tupu
linasaidia endapo utakua na mkeTupu lakini linasaidia
Mke? Emmyta hebu uje swahibalinasaidia endapo utakua na mke
swahiba yupo kupka chai na hana sukarMke? Emmyta hebu uje swahiba
Sukari sio lazima, tubane matumiziswahiba yupo kupka chai na hana sukar
Matumizi bora ni kutumia ulichonacho kwa mipango.Sukari sio lazima, tubane matumizi
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
mpango mpango tokeniiii humu na mkafanye kazMatumizi bora ni kutumia ulichonacho kwa mipango.
Kazi gani unasemea etimpango mpango tokeniiii humu na mkafanye kaz
Mwenyewe sijamuelewa piaSijui mwenyewe...
Mropokaji ndio [emoji12] . Ila hajajua humu wenyewe wala hatuko hivyoPia anaonekana mropokaji
Asepe tu atuache tuburudike na uzi wetu huku kazi tunafanya vilevileHivyo basi asepe tu
Kufanya chochote ni maamuzi ya mtu binafsiVile vile asitupangie cha kufanya
Hivyo anavyotaka yeye haiwezekaniBinafsi na mimi naamini hivyo
Haiwezwkani kuoangiwa cha kufanya ktk umri huuHivyo anavyotaka yeye haiwezekani