Wa mwisho ndiyo mshindi

Sasa kama imekutokea wewe utafanyaje
Kama imekutokea wewe sijui utafanyaje lakini wengine wanakubali matokeo tu na kuomba msaada kwa raia. Hii imenitokea jana. Nilienda kumpokea mgeni usku saa tano Ubungo.

Nilibadili suruali kilichoniokoa ni buku tano iliyokuwepo ktk suruali niliyo vaa baada ya kuvua ile nyingine.

Mwanzoni nilidhani mimeibiwa lakini nilkuja kugundua kuwa ipo ktk suruali niliyoibadili.
 

Niliyoibadili haitofautiani na ile. Pole sana james kwa yaliyokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…