Wa mwisho ndiyo mshindi

Nafagilia samaki hata mimi ila kubadilisha mara moja moja sio mbaya
Sio mbaya kweli ila mimi na nyama kwa ujumla wake, sio mpenzi sana. Hula mara moja moja sana. Kuliko kunilisha nyama mara tatu kwa wiki, ni bora unilishe maharage wiki nzima
 
Sio mbaya kweli ila mimi na nyama kwa ujumla wake, sio mpenzi sana. Hula mara moja moja sana. Kuliko kunilisha nyama mara tatu kwa wiki, ni bora unilishe maharage wiki nzima
Wiki nzima nipo kwenye huu uzi sijatoka lol inabidi mnipe tuzo ya kuganda humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…