Kupambanua zuri na baya ni uwezo alopewa binaadamu, lakini kuna mda hata mnyama ana afadhali kadri ya matendo ya binaadamu wa leo.Kuwepo kwake saa nyingine ni kwa ajili ya kupima uwezo wa kupambanua zuri na baya
Binadamu wa leo wana vingi vitukoKupambanua zuri na baya ni uwezo alopewa binaadamu, lakini kuna mda hata mnyama ana afadhali kadri ya matendo ya binaadamu wa leo.
Vituko hivi vya binaadamu wa leo, vimetokana na nini hasa? Wapi tulipokengeuka?Binadamu wa leo wana vingi vituko
Tulipokengeuka ni pale tulipoupa nafasi utandawazi wa asilimia mia mojaVituko hivi vya binaadamu wa leo, vimetokana na nini hasa? Wapi tulipokengeuka?
Asilimia mia moja nakubaliana nawe, maana huu uleo umetufanya tuukane ukale wetu uliotuongoza vema. Hatimaye aliyeko chumbani na barabarani hawana tofauti, si kwa me+ wala ke-Tulipokengeuka ni pale tulipoupa nafasi utandawazi wa asilimia mia moja
Ke- ndio wamezidi mana kuna ambao ukipishana nao barabarani unaweza muangalia mara kumi kumi usimmalize kwa huo muonekano wakeAsilimia mia moja nakubaliana nawe, maana huu uleo umetufanya tuukane ukale wetu uliotuongoza vema. Hatimaye aliyeko chumbani na barabarani hawana tofauti, si kwa me+ wala ke-
Wake za watu siku hizi, hata thamani za ndoa zao hawajihitaji. Waume vivyo vivyo. Thamani ya ndoa imenaki kwenye pete, akilini ni njia ndogodogo, za huduma, na michepuko ya kutosha. Yaani ni aibuKe- ndio wamezidi mana kuna ambao ukipishana nao barabarani unaweza muangalia mara kumi kumi usimmalize kwa huo muonekano wake
Wake za watu siku hizi, hata thamani za ndoa zao hawajihitaji. Waume vivyo vivyo. Thamani ya ndoa imenaki kwenye pete, akilini ni njia ndogodogo, za huduma, na michepuko ya kutosha. Yaani ni aibu
Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwaBasi tu ila ukifikiria sana unaweza usioe au kuolewa
Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
Majaliwa ya RahmaniKuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa
Rahmani ndiye muweza wa yoteMajaliwa ya Rahmani
Yote hakika ni ya kwake akisema (kun faya kun) kua inakuaRahmani ndiye muweza wa yote
Inakua soo kujamba mbele za watu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Yote hakika ni ya kwake akisema (kun faya kun) kua inakua
Mbele za watu ukileta habari za "kama una stress pitia hapa" utavunja mbavu zetuInakua soo kujamba mbele za watu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Wahenga wa miaka ya sasa hata nami nimo sijui wewe God Heals kama nawe ni muhengaKucheka husogeza/huongeza siku za kuishi-Wahenga.
Muhenga naona neno hili limejichomza kwa nguvu sana wiki hizi mbiliWahenga wa miaka ya sasa hata nami nimo sijui wewe God Heals kama nawe ni muhenga
Mbili na mbili wakati mwingine si nneMuhenga naona neno hili limejichomza kwa nguvu sana wiki hizi mbili