Zaidi ya yotee huu uzi utaisha lini!?? Kuna wengine ukute walishatangulia mbele za haki lakin hadi leo uzii hauishi tuu... Nataka mimi ndo niwee mshindiii...!!Pendelea kusoma nyuzi mbalimbali ili kuongeza maarifa zaidi
Mshindii hawezi kupatikana sasa hivi, hilo sahau kabisaZaidi ya yotee huu uzi utaisha lini!?? Kuna wengine ukute walishatangulia mbele za haki lakin hadi leo uzii hauishi tuu... Nataka mimi ndo niwee mshindiii...!!
Sahau kabisa na wewe kuwa mshindi kama mimiMshindii hawezi kupatikana sasa hivi, hilo sahau kabisa
Mimi lazima nishindane kufa na kupona, hamna kukata tamaa hapaSahau kabisa na wewe kuwa mshindi kama mimi
Kieleweke vizuri kitabu cha katiba ya wananchi ili kanuni na taratibu zote ziweze kufuatwa ipasavyoHapa mpaka kieleweke
Ipasavyo ni hivi katiba ni ya wananchi hivyo itokane na wananchiKieleweke vizuri kitabu cha katiba ya wananchi ili kanuni na taratibu zote ziweze kufuatwa ipasavyo
Wananchi hawajapewa nafasi mana hawafiki robo kati wanaoijua hiyo katiba ya zamani.Ipasavyo ni hivi katiba ni ya wananchi hivyo itokane na wananchi
Zamani maisha yalikua mepesi ila siku hizi mmmh balaa vyuma vimekaza kweli kweli, kijijini kutatuhusu sanaWananchi hawajapewa nafasi mana hawafiki robo kati wanaoijua hiyo katiba ya zamani.
Sana aisee mumy. Ila ndio hivyo kwa sisi tuliozowea maisha ya kawaida hatupati shida sana kama wale waliozowea kuishi kama wafalme ndio wanaosoma namba.Zamani maisha yalikua mepesi ila siku hizi mmmh balaa vyuma vimekaza kweli kweli, kijijini kutatuhusu sana
Namba za kilugha chetu ni ngumu kuzisomaSana aisee mumy. Ila ndio hivyo kwa sisi tuliozowea maisha ya kawaida hatupati shida sana kama wale waliozowea kuishi kama wafalme ndio wanaosoma namba.
Kuzisoma ni kazi kweli ila inabidi tujitahidi kwa hali na mali..Namba za kilugha chetu ni ngumu kuzisoma
Mali ipo kidogo miongoni mwetu, labda tuassitiane tunaweza kujiinuaKuzisoma ni kazi kweli ila inabidi tujitahidi kwa hali na mali..
Kujiinua kwa kupeana assist kunataka moyoMali ipo kidogo miongoni mwetu, labda tuassitiane tunaweza kujiinua
Moyo sukuma damu, mengine sio kazi yakoKujiinua kwa kupeana assist kunataka moyo
Mtanzania maisha bora ni ndoto,by the way hiyo ilikuwa kikwete's slogan huu utawala mwingineYako wapi maisha bora kwa kila mtanzania??
Walay huyu ndo katufanya tujione kuzaliwa hapa bahati mbaya[emoji31] [emoji31] [emoji31]Mwingine uyu si alidai hapa kazi tu..kazi tunaiona walay.
Mbaya kufa maskini, hatakama bongo bahati mbayaWalay huyu ndo katufanya tujione kuzaliwa hapa bahati mbaya[emoji31] [emoji31] [emoji31]