Wasipoonekana ujue kuwa wengine hawana bando, wengine majukumu ya kifamilia yamewabana kama mimi hapa japo nipo hewaniHumu wote familia moja tuulizane masahibu yaliyowakuta wenzetu pindi wasipoonekana
Hewani hayupo, angani kapotea pia haonekani! Ardhi napo anatafutwa sijui kajificha wapi?Wasipoonekana ujue kuwa wengine hawana bando, wengine majukumu ya kifamilia yamewabana kama mimi hapa japo nipo hewani
Wapili kugundua kuwa watu humu hawaonekani kwa muda usiojulikana ni nani?Hewani hayupo, angani kapotea pia haonekani! Ardhi napo anatafutwa sijui kajificha wapi?
Tofauti Erickford4 hongera kwa kufuta ujinga karibu JAMVININani mwingine kama mimi humu JF aliye jifunza leo kuandika kwa rangi tofauti?
Jamvini pana mambo mengi ya kujifunza, ni wewe tu!Tofauti Erickford4 hongera kwa kufuta ujinga karibu JAMVINI
Ujanja ujanja hauna mashiko ktk zama hiziWewe tu na ujanja
Hizi zote ni mbwembwe zenu, lakini hamtashindaUjanja ujanja hauna mashiko ktk zama hizi
Hamtashinda nyie wote mnaolala mapemaHizi zote ni mbwembwe zenu, lakini hamtashinda
Mapema? Nani kasema tunalala hapa tunakesha hakuna kulalaHamtashinda nyie wote mnaolala mapema
Hakuna kulala hata kama hujalaMapema? Nani kasema tunalala hapa tunakesha hakuna kulala
Hujala kwa niniHakuna kulala hata kama hujala
Kwa nini nadhani kwa sababu kachelewa chakulaHujala kwa nini
Chakula nakula mapema sanaKwa nini nadhani kwa sababu kachelewa chakula
Sana Leo tunasherehekea Sikukuu ya Eid Fitri Alhamdulillahi tumejaliwa kufinga mwezi mtukufu wa Ramadhani salamaChakula nakula mapema sana
Pilau ni chakula chenye tiba na sumu ndani yake, kadri ya mapishi yakeZote 9, 10 leo ni sikukuu ya Eid waliofunga na tusiofunga wote tutakula pilau.